FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Yule ni msaliti aende tu
 
Yani kwa kelele hizo za bao la tatuu...nilikua hapa na mashem zangu ni Yanga damu wanabishana hao ni Azam wameongeza mm nikawapa moyo nikawaambia ni Yanga hao kwa kelele hz wanaaamini hata bila Feisal wanatoboa hizo kelele ni za kuizomea Simba wakasema hapana ni Azam yani walikua wamekata tamaa kila mmoja maana hatukua ndani muda huo..kumbe washabiki wa Yanga walikua wanahoma na hii mechi sasa ndo sherehe imeanza...
 
Mnaacha kufikiria game yenu na KMC ,majipa kazi zisizo wahusu za kujifanya wachambuzi wa vipengele vya mikataba.

Kesho na KMC ambao taifa waliatoa pumu goli mmechomoa dk ya 90+ na nazani uwanja wa Kirumba mnaujua hostoria yake kwa upande wenu.
 
Mnaacha kufikiria game yenu na KMC ,majipa kazi zisizo wahusu za kujifanya wachambuzi wa vipengele vya mikataba.

Kesho na KMC ambao taifa waliatoa pump goli mmechomoa dk ya 90+ na nazani uwanja wa Kirumba mnaujua hostoria yake kwa upande wenu.
Mabush Lawyers. 🀣

Hadi ukikaa unajiuliza wamesomea lini sheria hawa. πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…