kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Yule ni msaliti aende tuNo hastahili iyo heshima. Alipaswa kuufata uongozi Kisha kuwaambia Azam wapo tayari kunilipa hivi je ninyi mpo tayari au niende zangu? Yeye amefanya Siri akachukua mpunga wa Azam Kisha kaenda kulipia mkataba yake.
Hivi hamjui chama alifanya nini alipotoka berkane? Yanga ndio walikuwa wa kwanza kumfata na dau lau ila akautaarifu uongozi wa Simba ili nao uone atakachoenda kulipwa Yanga wafanye kitu..
Acheni kutetea wasaliti