King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwishnery Patel Kemcho amdabat.
Shikamooo Fei Toto.
Shikamooo Fei Toto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Sasa Simba ni timu mbovu kwa Azam kwaio lazima wapelekeshwe tuUliiona mechi ya Azam na Simba round ya kwanza?
Nauliza wasemaji wa Azam mna lolote? 🤣 🤣
Mtaongea lugha zote msimu huu.Azam waachane na huyu kipa Ahmada. Goli la tatu ni la uzembe wake kabisa.
Nakaaaziiiiaaa. 😅oooh tuvae jezi nyeusi kumuenzi bob marley pumbavu
sisi tunakupiga hata uvae kaniki
Nauliza wasemaji wa Azam mna lolote? 🤣 🤣
Wakiongozwa na JendamaisiniNauliza wasemaji wa Azam mna lolote? 🤣 🤣
Uliziona mechi za Azam na Simba miaka sita iliyopita? na matokeo yalikuwaje?Uliiona mechi ya Azam na Simba round ya kwanza?
Anafungwa Eduardo Mendy kwa mpira wa aina hiyo hiyo, kwenye kombe la dunia! Ahmada ni nani mpaka asifungwe?Azam waachane na huyu kipa Ahmada. Goli la tatu ni la uzembe wake kabisa.
Hii ni ishara kwamba hamna wanachofanya kuimprove haliKila msimu mnaimarisha tu timu yenu!! 😃
Nenda kamhudumie mzee baba ni usiku sasa
mbona hamkumuacha manura alipopigwa lile bombaAzam waachane na huyu kipa Ahmada. Goli la tatu ni la uzembe wake kabisa.
Ngoja sasa tuone kama wataendelea na hizo nyuzi zao za Fei Toto na hao wababe wao Azam!Wapo kwenye uzi wa Feitoto 😄
AhahaahahUshindi mwingine mwembamba.