FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Attachments

  • Faridm.jpg
    Faridm.jpg
    69.7 KB · Views: 3
Yanga hii haipoi haiboi, wanautaka ubingwa wao kwa hakika kabisa, sio kwamba timu zingine sio bora kwa maana ya Simba na Azam hapana, Yanga ni bora zaidi yao wote ndani na nje ya uwanja kwa maana ya management na bench la ufundi. Bado mechi zipo nyingi ila kwa ubora huu wa yanga, nafas yao ya kutetea ubingwa wao ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom