Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatuwaonei kuwaita Mbumbumbu, yaani mechi huangalii ila unajua hatima ya mechi ipo upande gani!Hatima ya hii mechi ipo mikononi mwa Azam
Siangalii mechi ya kipindi cha pili ninau bize ila Azam wakifungwa wamependa
Inasikitisha Sana Kalimangonga utafikiri kamwagiwa maji ya baridi.Huyu Kipa ndio Zaka alituambia anadaka hata akiwa kafunikwa gunia usoni?
Feisal ndo nani?Yanga...leo Feisali angekua Azam hakika angerudisha hili goli tena la mbaliiii
Nimethibitisha pasi na shaka yoyote kuwa huna akili hata mojaKWa mpira huu wa Azam Yanga wameponea chupuchupu
lazima umuone bora si alikukandaBado nausifia mpira wa Azam ni bora zaidi
lazima uuone bora si alikukandaBado nausifia mpira wa Azam ni bora zaidi
Azam wamepewa bahasha na GSMKWa mpira huu wa Azam Yanga wameponea chupuchupu
alafu anajikutaga mjuaji huyu babuWalioharibiwa Cristmas leo wa kwanza scars na ndugu yake boban sunzu. Huyu boban hivi yuko kutafuta takwimu za kupika kujifariji. Soon atafungua Uzi hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afungwe azam, simba ndo walale mapema! Hii nchi unafiki mwingi sana
Kumbee hivi hz bahasha wanawekaga nini?Azam wamepewa bahasha na GSM
Huyu Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC hajajinyonga kweli?Kila mtu ashinde mechi zake.
Tunataka kujua leo ikiwa ni kweli...
1. Jezi nyeusi ina jambo
2. Kweli kuna bahasha za khaki
Azam wasiposhinda hii mechi ya leo hayo yote hapo juu ni ubatili.
Wenye homa ni hao mashemeji za wenye pua kama bakuli, usitujumuishe na sisi.Yani kwa kelele hizo za bao la tatuu...nilikua hapa na mashem zangu ni Yanga damu wanabishana hao ni Azam wameongeza mm nikawapa moyo nikawaambia ni Yanga hao kwa kelele hz wanaaamini hata bila Feisal wanatoboa hizo kelele ni za kuizomea Simba wakasema hapana ni Azam yani walikua wamekata tamaa kila mmoja maana hatukua ndani muda huo..kumbe washabiki wa Yanga walikua wanahoma na hii mechi sasa ndo sherehe imeanza...
Nimekua mshabiki wa Yanga?? Nimeongezeka ktk kundi lenu wenye akili mbil?? Mimi nina akili kukuzidi wewe...halafu usitake niseme kile unachotaka wewe...Nimethibitisha pasi na shaka yoyote kuwa huna akili hata moja
Ee ni wao na wana mapua kama wanasafoketi kwenye maji aka vyuraWenye homa ni hao mashemeji za wenye pua kama bakuli, usitujumuishe na sisi.
Habari yako Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Mikia/Kolowizards/Ngada FC?Umekosea kunywa hiyo wine, ubgeramba tu ukwaju wa bhakresa [emoji23][emoji23]
Nipo hapa kushuhudia mnavyo rambiswa cone [emoji23][emoji23]