Oyaa vp avatar picha yako ya suti nyeusi na tai?Mad Max , nitakukumbusha badae, hii game piga nikupige, ila PSG anatoboa.
Oyaa vp avatar picha yako ya suti nyeusi na tai?
Hakimi kapata matitizo gani asiwepo injury au ?PSG ni mbovu tu usipagawe na upepo wa muda mfupi
Na upande wa right back kuna pancha, PSG bila Hakimi gemu ya ugenini tena dhidi ya mpinzani kama Bayern....ngoja nisimalize maneno
Acha shobo na avatar za watu NyangwisiOyaa vp avatar picha yako ya suti nyeusi na tai?
Kabisa yani bonge la game.Ila dogo mkaldayo hili gemu la leo sio la kukosa.
1st leg alipata injury akatolewaHakimi kapata matitizo gani asiwepo injury au ?
Mkuu hii ni Dstv ama website?
Kayakanyaga kwa refa maana hata time ya kuamua utata wa goli hanaMunich ameyakanyaga 😂