FT: Bayern München 0 - 1 PSG | UEFA Semi Final 2nd Leg | Allianz Arena | 6 Mei 2026

FT: Bayern München 0 - 1 PSG | UEFA Semi Final 2nd Leg | Allianz Arena | 6 Mei 2026

Yeyot ateyevuka hapa nitamshangilia kwa wivu mkubwa sana kwenye hiyo fainali
 
Angalieni huyu refa anataka kuthibitisha kwamb anajambo lake

Mtu kashika kwenye box halafu anataka kupeta penati?
 
Refa wa leo ni kama tu yule wa jana
 
Nuno Mendez alistahili yellow card ambayo ingekuwa ni second na angetoka nje kwa red


Angalia hapa kwa uzuri

Then tukio hili likaja kujitokeza tena ndani ya box lakini refer anasema no penalty
 
Wanadai siyo penati sababu mpira ulitoka kwa mchezaji mwenzake.
 
Fixed games sio Saud pek yake hata UEFA nayo ina hii harufu

Japo huku wahusika ni marefa zaidi kuliko wachezaji
 
Wanadai siyo penati sababu mpira ulitoka kwa mchezaji mwenzake.
Hakuna sheria kama hiyo.

Mchezaji yeyote akigusa mpira kwa mkono inatafsiriwa kuwa ni faulo labda huo mpira uwe umepigwa na refa kwasababu sio muhusika wa mchezo kwa maana ya kuucheza.

Lakini excuse yeyote zaidi ya hapo ni uongo tu. Vinginevyo hata own goal haipaswi kusimama.
 
Kama kuna Mod yupo macho aweke 1-1 ila aggregate inasoma 5-6
 
Back
Top Bottom