Bora PSG kaenda fainali kama wengine tulivyotaka, you feel it kuwa PSG lazima waende Final Kwa uchezaji wao ule...Wewe angalia timu jinsi watu wanavyokimbia, Jamaa wametapakaa Kila kona ya uwanja kama siafu, ni wachezaji wenye maamuzi, kocha anawapa mbinu but wachezaji ni kama wanaambiwa wewe cheza unavyojua kulingana na strength yako, kule mbele Jamaa wakifika kwenye boks wengine wanapiga Tu, wengine Wana dribble, wengine wanakimbia Tu kama vichaa... Bayern wanacheza kama Man City ya Zamani ya Pep wanataka Hadi wapasiane kwenye boksi, no hurry, just pasi moja moja Hadi golini, sasa utamfunga Psg kweli kwenye hatua za mtoano?, timu yoyote ambavyo iko vizuri kwenye counter attack si timu ya kuibembeleza Kila mara!.
Mechi ya Fainali Naamini Arsenal hawataingia mkenge kama wa Inter Milan.