FT: Biashara 0 Simba 0

Kocha hana nia ya kucontrol midfield na kutengeneza chances kwa movements na through balls.

Gameplan yake ni kubutua mbele na kutegemea Bocco na Kagere watafanya miujiza
Sema yupo sahihi kwa game plan za viwanja hivi vya mikoani, italeta matunda muda sio mrefu
 
Zama za Kapombe zinaelekea ukingoni! Kila la kheri BUM
 
Duncan ni mchezaji wa Simba kabisa

Anacheza kwa confidence na utulivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…