Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Sema yupo sahihi kwa game plan za viwanja hivi vya mikoani, italeta matunda muda sio mrefuKocha hana nia ya kucontrol midfield na kutengeneza chances kwa movements na through balls.
Gameplan yake ni kubutua mbele na kutegemea Bocco na Kagere watafanya miujiza