Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
mods twende live sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmekwisha wanetu
Calculator zimegoma kufanya kazi hadi uhamie kwenye kufundisha kireno?nitakuwa nafundisha kireno hapa adios amigos
Leo tunakanda nyingimmekwisha wanetu
😅Acha nongwa mtani.BRAVOS do Maquis kama tulivyokubaliana
Nawaza sana kuwa MzalendoHeri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza wimbi la ushindi?
Simba inazidi kuimarika hasa ikichagizwa na ongezeko la Mpanzu, huku ikiwa nafasi ya pili na alama 9 wakati wenyeji Bravo wakiwa nafasi ya 3 na alama 6. Ni mtanange wa kufa na kupona.
Ikumbukwe kuwa Bravos ameshinda mechi zake mbili akiwa nyumbani, huku Simba akitoka kushinda ugenini mechi iliyopita, patawaka moto!
Mechi itakuwa mubashara Saa 1:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki.
Karibuni wote, mshuhudie wawakilishi sahihi wa kimataifa wasiotumia CALCULATOR wakielekea Robo Fainali kama ilivyoada yao!!
View attachment 3199863
🤣🤣🤣 CaFCCKaribuni kwenye show za kiume…
Haziwafikishi popote hizo, Leo mnaukalia 2-0 mechi ya mwisho tena 0-1. Tunza risitiWacheza rede wenye point 9🤣🤣🤷
Karibu mkuu…Nawaza sana kuwa Mzalendo
Nafsi inakataaKaribu mkuu…
Nafsi inakataa