FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Najaribu kuwaza kwa sauti Mashabiki wa Simba mnawananga sana mashabiki wa Yanga.. Vipi leo nyie Simba mkafungwa na Yanga wakashinda..

Mashabiki wa Yanga sijui mtawatulizaje na tambo zao maana calculator zitaamia upande wenu.

Mpira wa miguu huwa na matokeo katili sana. Leo yetu macho! maana mmoja kati yenu(Simba au Yanga) anaenda kufungwa na ndo mwisho wake hakuna robo fainali.
 
Simba ikishinda leo itakuwa imefuzu moja kwa moja. Pia Simba ikitokea kufungwa leo lakini Constantine ikashinda itaipa Simba urahisi kushinda.

Hiki kikokotoo kanipa Mdau wa Yanga japo nimemuambia sisi hatutumii calculator kwenye soka
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza wimbi la ushindi?

Simba inazidi kuimarika hasa ikichagizwa na ongezeko la Mpanzu, huku ikiwa nafasi ya pili na alama 9 wakati wenyeji Bravo wakiwa nafasi ya 3 na alama 6. Ni mtanange wa kufa na kupona.

Ikumbukwe kuwa Bravos ameshinda mechi zake mbili akiwa nyumbani, huku Simba akitoka kushinda ugenini mechi iliyopita, patawaka moto!

Mechi itakuwa mubashara Saa 1:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki.

Karibuni wote, mshuhudie wawakilishi sahihi wa kimataifa wasiotumia CALCULATOR wakielekea Robo Fainali kama ilivyoada yao!!View attachment 3199024
Simba anashinda 2-1
 
Hawa ni wawakilishi sahihi kwenye mashindano ya wanawake.
 
IMG-20250112-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom