Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio matokeo ya Leo hayoKila la kheri Simba SC.
FT: Bravos De Maquis 0 VS 1 Simba SC.
Hii game naona kama itakuwa GGMbona kama ni bravos 3 thiimba 1
Naunga mkono hojaHii game naona kama itakuwa GG
Wale jamaa wanafunguka sanaNaunga mkono hoja
BRAVOS do Maquis kama tulivyokubaliana
Tanzania team ni yanga tu. Over
Kabisa wakikimbia beki zao nao zinaenda mbele wanacheza boli la miyeyusho sema wakifanya hivi watakula nyingi kwa Simba SC hiiWale jamaa wanafunguka sana
Amen 🙏 MUNGU mwema, Nchi itawakilishwa vyema