Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Kila la kheri chama langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa moja kamili usikuUbaya ubwela, gemu kwa saa za mashariki mwa Africa ni saa ngapi?
Asante mkuuSaa moja kamili usiku
Naomba lipa number nilipie nzuri sana hii 😀😃😃Mkuu Vincenzo Jr Kitu ni piru 15000 tu , haina kipengele, labda uje nacho wewe mkuu.
View attachment 3199394
Saa 1 usikuUbaya ubwela, gemu kwa saa za mashariki mwa Africa ni saa ngapi?
Tunayakumbuka makubaliano. Na tutahakikisha HATUFUNGWI GOLI ZAIDI YA TATU ili tusiaibishwe sana nyumbani!BRAVOS do Maquis kama tulivyokubaliana
Lolote baya liwakute
Afadhali umekiri mwenyeweKabisa wakikimbia beki zao nao zinaenda mbele wanacheza boli la miyeyusho sema wakifanya hivi watakula nyingi kwa Simba SC hii
Simba leo anakaa: mkono ni chache. Akirudi Dar, anapigwa wiki na CS Constatino. Mchezo umeishaHeri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza wimbi la ushindi?
Simba inazidi kuimarika hasa ikichagizwa na ongezeko la Mpanzu, huku ikiwa nafasi ya pili na alama 9 wakati wenyeji Bravo wakiwa nafasi ya 3 na alama 6. Ni mtanange wa kufa na kupona.
Ikumbukwe kuwa Bravos ameshinda mechi zake mbili akiwa nyumbani, huku Simba akitoka kushinda ugenini mechi iliyopita, patawaka moto!
Mechi itakuwa mubashara Saa 1:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki.
Karibuni wote, mshuhudie wawakilishi sahihi wa kimataifa wasiotumia CALCULATOR wakielekea Robo Fainali kama ilivyoada yao!!View attachment 3199024
Kumekucha, unaota ndoto mchana!!Simba leo anakaa: mkono ni chache. Akirudi Dar, anapigwa wiki na CS Constatino. Mchezo umeisha
Mkuu usisahau kumrudishia..bado ana kazi nachoSimba ikishinda leo itakuwa imefuzu moja kwa moja. Pia Simba ikitokea kufungwa leo lakini Constantine ikashinda itaipa Simba urahisi kushinda.
Hiki kikokotoo kanipa Mdau wa Yanga japo nimemuambia sisi hatutumii calculator kwenye soka