Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Siwezi kuwa mnafiki, kolozidad united lolote baya liwakute. Amen...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba atafungwa kwa goli moja
Mimi naongeza na mojaSimba atafungwa kwa goli moja
Akishindwa kutoa sare afuzu atakuwa mzembe wa mwakaKilalakheri Simba,hata draw ikipatikana ni kubwa sana
Mchezaji hapo ni Kibu na Camara waliobaki wacheza rede.
azam tv miyeyusho sanaJuma Abdul hawezi kuchambua,anaongea tu bila focus. Sijui wametumia kigezo gani kumleta hapo Azam
Kila laheri Mnyama 🦁 🦁Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza wimbi la ushindi?
Simba inazidi kuimarika hasa ikichagizwa na ongezeko la Mpanzu, huku ikiwa nafasi ya pili na alama 9 wakati wenyeji Bravo wakiwa nafasi ya 3 na alama 6. Ni mtanange wa kufa na kupona.
Ikumbukwe kuwa Bravos ameshinda mechi zake mbili akiwa nyumbani, huku Simba akitoka kushinda ugenini mechi iliyopita, patawaka moto!
Mechi itakuwa mubashara Saa 1:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki.
Karibuni wote, mshuhudie wawakilishi sahihi wa kimataifa wasiotumia CALCULATOR wakielekea Robo Fainali kama ilivyoada yao!!
View attachment 3199863
Wacheza rede wenye point 9🤣🤣🤷Mchezaji hapo ni Kibu na Camara waliobaki wacheza rede.
Inastaajabisha wakati fulani! Eti simba inashiriki kwenye haya mashindano, baada ya kushika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu msimu uliopita!
Akipata alama nyingi ni mojaBRAVOS do Maquis kama tulivyokubaliana
Simba anashinda 2-1