FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

Wachezaji wajifunze kwa uchungu. Haswa Hawa wapya. Kapombe mfano hawezi kurudisha back pass kwa kipa kipumbavu vile...sababu anajua maana ya kuvaaa jezi ya Simba na uzee wake wote ...Majeruhi imeikost Simba pia. Ni kama kagoma na nangu waliondoka na kitu uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…