Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Naona kama zaidi. Mungiki amezingua sanaMechi ya yatu hii anasababisha penati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama zaidi. Mungiki amezingua sanaMechi ya yatu hii anasababisha penati
Aahahaah,Naona kama zaidi. Mungiki amezingua sana
We pisi Kali hulali!!?Shikamoo ya usiku H. KHABBA Salute 🙋♀️
Tena Huyu kama Shabalala wana tabia za kugeuka nyuma ili kupiga back pass, wanaboa sana. Left footer wa ukweli ni Edibily Jonas Lunyamila, Alphonce Modest na Kenneth Pius Mkapa. Wengine wote majanga.Gadiel anachelewa sana kupiga pasi elekezi
Wanaume wa Kiarabu si unajua walivyo wazuri naanzaje kulala?We pisi Kali hulali!!?
AahaahaahLa tatu
AhahahahahWanaume wa Kiarabu si unajua walivyo wazuri naanzaje kulala?
Yenu haiwezi kuvunjwa, muda umeshaisha. Kumbuka ilikuwa 6-0Aahaahaah
Nyie Wana Simba angalieni msivunje rekodi ya yetu ya goli sita,naona mnatuonea wivu Wana yanga
AahaahaHawa jamaa benchi la ufundi lao lina akili sana. Walipojua uchochoro wa Onyango na Nyoni, wakaingiza watoto wadogo.
Sikuona haja ya kumtoa Kibu. Kibu leo kwangu alikuwa the Best kwa upande wa Simba hasa defensivelyHawa jamaa benchi la ufundi lao lina akili sana. Walipojua uchochoro wa Onyango na Nyoni, wakaingiza watoto wadogo.
Tunasafirisha ama?Ahahahahah
Wanaokula ngano wale,na hii swaumu punguza kuwatazama sana
Allaa alaaaYenu haiwezi kuvunjwa, muda umeshaisha. Kumbuka ilikuwa 6-0