FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

Vipers na AL hilal ndio watakuwa vibonde wa ma group yao

Cha kushangaza vipers na Al hilal eti waliwafunga yanga.
Vipers usishaangae kumfunga Yanga ila kumbuka ndio iliyomtoa Tp Mazembe kwenye klabu bingwa. Kilichowaponza ni kitendo cha kukubali kuanza na upya wakati tayari walishajenga team. Wameuza uza wachezaji wao muhimu na pia kocha aliyeijenga timu wakaachana nao. Unategemea miujiza itawabeba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…