FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Simba wakaze,ikiwezekana wawapige kamoja,halafu wakalinde.
 
Simba inacheza slow mno...

To be honest kama kocha hatafanya mabadiliko yoyote ya kimchezo, safari ndio imeishia hapa...

Hii ni mechi muhimi mno, na magoli ndio yataamua...
 
Beki ya simba ina baridi bla mvua
 
So far WAC wana mashambulizi ya hatari kuliko sisi, kule kwao sijui itakuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…