Nikweli mimi sijawahi ona umuhimu wake ana mabio tu bila malengoWakati mwingine fans tuwe tunasikilizwa. Saido ameicost Simba mechi nyingi sana. Leo kuna moves mbili zilikuwa nafasi nzuri za goli kapoteza. Ni kama ametumwa bwana, yaani 90% ya touch zake anapotezaga mipira.
Shamba la bibi hiyo, penati inapigwa na Shekhan RashidHapana ilikuwa Simba, alimfunga nadhani Isamilia goli mbili mechi ikahairishwa, kutokana na mvua. Kesho yake mechi ikarudiwa Simba akashindwa goli moja kwa bila. Goli la Joseph Kaniki Golota.
hahahah huyo mchezaji wao hana tofauti na majigolo wa kmc
Umri jamani. Yanga ilitaka kumpa mkataba wa mwaka mmoja akakataa yeye anataka miwili ikaachana wazushi wakasema ameachwa kwa sababu za kinidhamu. Kumbe wajanja waliona mbali sasa hapo baada ya huu msimu kuisha bado ana miezi 6 zaidiAnaharibu sana mashambulizi sababu mara nyingi anataka kujaribu yeye,ubinafsi unaondoa ufanisi mbele pale ,
Anaitwa njorogeHivi ni Majigolo au Majogolo?
Shukran sanaHapana ilikuwa Simba, alimfunga nadhani Isamilia goli mbili mechi ikahairishwa, kutokana na mvua. Kesho yake mechi ikarudiwa Simba akashindwa goli moja kwa bila. Goli la Joseph Kaniki Golota.
huyohuyoHivi ni Majigolo au Majogolo?
Mzamiru anacheza vizuri mpaka sasa. Kanoute ndiyo changamoto.Double Pivot yetu leo haifanyi kazi sawasawa