FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Wakati mwingine fans tuwe tunasikilizwa. Saido ameicost Simba mechi nyingi sana. Leo kuna moves mbili zilikuwa nafasi nzuri za goli kapoteza. Ni kama ametumwa bwana, yaani 90% ya touch zake anapotezaga mipira.
Nikweli mimi sijawahi ona umuhimu wake ana mabio tu bila malengo
 
Hapana ilikuwa Simba, alimfunga nadhani Isamilia goli mbili mechi ikahairishwa, kutokana na mvua. Kesho yake mechi ikarudiwa Simba akashindwa goli moja kwa bila. Goli la Joseph Kaniki Golota.
Shamba la bibi hiyo, penati inapigwa na Shekhan Rashid
 
Anaharibu sana mashambulizi sababu mara nyingi anataka kujaribu yeye,ubinafsi unaondoa ufanisi mbele pale ,
Umri jamani. Yanga ilitaka kumpa mkataba wa mwaka mmoja akakataa yeye anataka miwili ikaachana wazushi wakasema ameachwa kwa sababu za kinidhamu. Kumbe wajanja waliona mbali sasa hapo baada ya huu msimu kuisha bado ana miezi 6 zaidi
 
Back
Top Bottom