Nikweli mimi sijawahi ona umuhimu wake ana mabio tu bila malengoWakati mwingine fans tuwe tunasikilizwa. Saido ameicost Simba mechi nyingi sana. Leo kuna moves mbili zilikuwa nafasi nzuri za goli kapoteza. Ni kama ametumwa bwana, yaani 90% ya touch zake anapotezaga mipira.