FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Awashauri Utopolo wenzie si nao wapo kule wanashirikishwa
 
Kwa sababu kocha ameshaingia kwenye mfumo wa mashabiki.
Akimtoa mashabiki tutamuakia.
Funika kombe mwanaharamu apite.
Sasa huu nao ni ujinga,Leo Mpira umemkataa na Kila mtu kaona angemtoa..

Mbona anavumiliwa Kwa kumuacha Tiba licha ya kuboronga?

Mimi sio mwana Simba Wala Tanga ila napenda Mpira na kuona Timu zetu zinajenga heshima ya Tanzania..

Na mambo ya Yanga na Simba Huwa naangalia mechi za Kimataifa tuu.
 
Mechi ya leo ilikua upande wa simba. Kama kawaida waidad wakiwa away wanacheza mpira wa kupooza, kupoteza muda, wanatengeneza nafasi chache, lakini mind set yao ni either droo au ufunge lakini kwa idadi ndogo ya magoli. Hakika simba ameprove kua moja ya timu bora Africa.

Imelinda heshima ya Uwanja wa mkapa. Kwa jicho langu la kiroho kipindi cha kwanza simba alikua shinde goli 2 ukiacha la baleke. Jamaa wajanja sana wakawasha ule moshi kupooza mpira. Nahisi jamaa walichungulia wakaona goli 2 kipindi cha kwanza. Tuone Cansanlanca itakuaje
 
Hivi Yanga amewahi kumfunga bingwa mtetezi wa mashindano yoyote ya CAF hata katika mechi ya kirafiki? Kwa Simba hii imekuwa kawaida sasa.
 
Eeh baada ya kuwaona taifa waki tisha vipi uko ugenini uja tuambia mambo yalikuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]
 
"𝑾𝑨𝑴𝑬𝑺𝑯𝑰𝑡𝑫𝑨 𝑳𝑨𝑲𝑰𝑡𝑰 𝑯𝑨𝑾𝑨𝑡𝑨 𝑭𝑼𝑹𝑨𝑯𝑨"
Mawazo ya hovyo toka utopolo united!
 
Simba hongera sana nawapenda...
Lolote litakalotokea badae nipo na nyie bega bega..
Mmeupiga mwingiiii walisema hamtawafunga waidada ila mmewafunga...
Yani kikubwa mmewafunga hilo tuu baaaaasiiiiiiii....
Hii kitu inasababisha watu waendelee kwenda uwanjani kwa wingi sababu timu inafanya makubwa
Ikitokea tumesonga mbele Nusu Fainali hakika watu watajaza uwanja liwe jua au mvua
 
Leo wydad wameweka kikosi C.... ila utopolo kila mkiwa proved wrong mnatanua goli. Simba alikukanda, ukasema dawa ni wydad leo amedundwa, unasema tena approach.

Nyie jamaa furaha imepotea kabisa. Ukileta ngebe nakutumia matokeo yenu na wydad mbele ya mnyama.... teh Teh teh
 
Kuna dalili kubwa sana za kutoboa nusu fainali. Kule kwao tutawapangia kikosi cha 5-4-1. (1. Ally, 2. Kennedy Juma, 3. Hussein, 4. Onyango, 5. Inonga, 6. Israel 7. Kapombe 8. Nyoni 9. Kibu, 10. Mzamiru 11. Kanoute)
Hapa c itakuwa mwendo wa kadi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…