HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hebu kuwa na heshimaUwepo wa huyo njiti kama mgeni wa heshima umetukosesha ushindi mnono,nuksi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu kuwa na heshimaUwepo wa huyo njiti kama mgeni wa heshima umetukosesha ushindi mnono,nuksi sana.
Awashauri Utopolo wenzie si nao wapo kule wanashirikishwaASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJA [emoji116]
Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.
Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.
Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Marhaba binti yangu.😂😂😂
Shikamoo baba..!!
Sasa huu nao ni ujinga,Leo Mpira umemkataa na Kila mtu kaona angemtoa..Kwa sababu kocha ameshaingia kwenye mfumo wa mashabiki.
Akimtoa mashabiki tutamuakia.
Funika kombe mwanaharamu apite.
Sawa sawa..na sisi tunaenda kupata sare kule CasablancaYanga inahitaji sare tu kule, hatuwa hii kumpiga mtu kwake ni issue.
Eeh baada ya kuwaona taifa waki tisha vipi uko ugenini uja tuambia mambo yalikuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]Nakubaliana na Wewe ; ila Simba akitoa uoga na akaenda kuweka mpira chini maisha yatakuwa magumu KWA PANDE ZOTE
Shida wakienda na mentality kuwa mcheza kwao hutunzwa basi atakufa
Wafanye kama Raja ..... principal yao ni moja . Matokeo ni yanapatikana popote....
waliawaambia Simba kuwa Sisi tunajua nyie ni wazuri ila tunawaomba muweke mpira chini na Sisi tuweke mpira chini kisha mmbora wetu apate matokeo
Kilichotokea Taifa tulikiona
The same token , Ahly nae kaambiwa hivo hivo , nyie ni bora ila tuweke mpira chini kisha mmbora watu apate matokeo
Leo ndio leo huko CAIRO
Mawazo ya hovyo toka utopolo united!"𝑾𝑨𝑴𝑬𝑺𝑯𝑰𝑵𝑫𝑨 𝑳𝑨𝑲𝑰𝑵𝑰 𝑯𝑨𝑾𝑨𝑵𝑨 𝑭𝑼𝑹𝑨𝑯𝑨"
Hii kitu inasababisha watu waendelee kwenda uwanjani kwa wingi sababu timu inafanya makubwaSimba hongera sana nawapenda...
Lolote litakalotokea badae nipo na nyie bega bega..
Mmeupiga mwingiiii walisema hamtawafunga waidada ila mmewafunga...
Yani kikubwa mmewafunga hilo tuu baaaaasiiiiiiii....
Mnaenda kucheza na team ya wanawake Rivers Utd, au ileile ya wanaume tunayoijua?Yanga inahitaji sare tu kule, hatuwa hii kumpiga mtu kwake ni issue.
Saa ngapi hii mechi?Niliona tangazo ila sikumbuki walisema saa ngapi.Baadae kuna aly ahly na raja casablanca
😂😂😂Marhaba binti yangu.
Naona unabeza ushindi wetu wa kagoli kamoja.😄
Umetibua tena hali ya hewa ulipomtaja huyo Kocha uchwara, kwanza nina wasiwasi sana huenda Chelsea FC 2022/2023 tukashuka daraja...[emoji30]Nawatania tu wanazengo..!
Kuwa na amani kijana wa Lampard,
Robo ya Champions LeagueFika robo na ww kama ni rahisi!!
Leo wydad wameweka kikosi C.... ila utopolo kila mkiwa proved wrong mnatanua goli. Simba alikukanda, ukasema dawa ni wydad leo amedundwa, unasema tena approach.Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.
Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.
Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
Kwa hali hii inabidi na kocha Juma Mgunda naye aingie kucheza, ili kuhakikisha hakuna goli linalopatikana siku hiyo.
Hapa c itakuwa mwendo wa kadi tuKuna dalili kubwa sana za kutoboa nusu fainali. Kule kwao tutawapangia kikosi cha 5-4-1. (1. Ally, 2. Kennedy Juma, 3. Hussein, 4. Onyango, 5. Inonga, 6. Israel 7. Kapombe 8. Nyoni 9. Kibu, 10. Mzamiru 11. Kanoute)
Mjipapatue kesho sasaHongera sana mtani
Daima mbele nyuma mwiko.