Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hali sio nzuri kabisaLeo watikisa manyonyo wanachangia huu uzi kwa tahadhari kubwa mno [emoji23]
Onyango yuko vizuri.heri lawama kuliko fedheha.Kazi ya beki ni kuzuia sio kusifiwa.kafanya kazi yake ya kuzuia mnataka nini tena.Mambo gan onyango tena hapa
Kabisa mzee, bado team haijatulia hasa kwa beki na washambuliaji.Leo SIMBA kwa huu uchezaji lazima tufungwe,tukijitahidi labda draw ya 0-0
Kafanyaje?onyango ni finyofinyo
Tulia mseeKabisa mzee, bado team haijatulia hasa kwa beki na washambuliaji.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Amfate pacha wake Wawa.Huyu mzee msimu ukiisha atupishe sasa