Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Unaumia sana mkuu,subirini kesho mechi yenu leo hayawahusuKwahiyo mmekaa hapo mnajifariji Simba atamtoa mwarabu!!! Endeleeni kujifariji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia sana mkuu,subirini kesho mechi yenu leo hayawahusuKwahiyo mmekaa hapo mnajifariji Simba atamtoa mwarabu!!! Endeleeni kujifariji.
Anafata meza yenye bia nyingiWe nae unajikuta unawajua sana Wydad kuliko wote humu jukwaani, unaonekana juha tu.
Tulia uangalie mpira, punguza POLIMILAI, kama jinsi ambavyo Zungu aliwashauri.
😂😂😂HT' Simba 1-0 Wydad & Yanga
Mpira ni mchezo wa mbinu kwanini na sisi tusije na mbinu ya kuwapita viungo waoHuoni kama wamejaza viungo mkuu??
unajaribu kusema niniUnataka kipimo gani?
Mechi ilifutwa sababu ya mvua Sina kumbu kumbu nzuri...Utopolo haijawahi kufunga mwarabu goli 3
Goooood!Kipindi cha pili kimeanza
simba anapaswa kupiga ata goli 3+Almanusura Chama aweke la pili