FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Utopolo haijawahi kufunga mwarabu goli 3
Mechi ilifutwa sababu ya mvua Sina kumbu kumbu nzuri...
Nadhani Kuna watu humu watakua na kumbu kumbu

Napenda kujua Sheria mfano mvua ikinyesha sana mpka mechi ikashindwa KUENDELEA.....
Mfano zikibaki dakk let say 20 ikabidi ipangwe next day mnaendelea pale pale au mna Anza upya??
 
Back
Top Bottom