FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Hii mvua imenikumbusha miaka ya nyuma sikumbukii vizuri yanga alicheza na waarabu yanga akawa amewafunga waarabu kama sikosei goli kama 3
Mechi Ili sitishwa Kwa ajili ya mvua............
Mechi ikachezea siku iliyo fuata na yanga wakapoteza.....

Wenye kumbu kumbu ana weza ku share.....

Mfano mvua inge endelea kiasi Cha KUSHINDWA KUENDELEA....
Mfano,
Ingetakiwa ihairishwe mpka siku inayo fuata watamalizia muda ulio Baki au wana Anza upya......
Naombeni ufafanuzi....
Upya
 
Hapana ilikuwa Simba, alimfunga nadhani Isamilia goli mbili mechi ikahairishwa, kutokana na mvua. Kesho yake mechi ikarudiwa Simba akashinda goli moja kwa bila. Goli la Joseph Kaniki Golota.
 
Hapana Mechi ilikua ya Simba na Ismailia pale shamba la bibi, Simba wakaleta mvua, wakawa wanaupiga mwingi hatari Joseph Kaniki striker wa Simba akawa anabetua mpira anatandika mashuti.
Mpaka mpira unasimamishwa kutokana na maji kujaa uwanjani Simba walikua wakiongoza 2-0.
Mvua ilikua ikiendelea kunyesha mwamuzi aka maliza mpira, Ngoma ika anza upya Siku ya pili.
Simba wakafanikiwa kushinda 1-0 na kutolewa kwenye mashindano.
Asante Kwa hii kumbukumbu shukran sana...
 
Back
Top Bottom