FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Mayele kwangu namchukulia tofauti na wewe unavyo mchukulia.

We unamchukulia kama King Striker, wakati mi namchukulia kama comedian

Anachekesha.

Alipoona mbele hakufikiki akaona bora apige mashuti katikati ya uwanja
Kwa sababu haujui mpira ndio maana unamuona comedian. Mashuti kama hayo walikua wanapiga kina Diego Forlan, Drogba, Ronaldo, Rooney na wakali wengine wengi. Aliwafunga Al Hilal kwa mashuti kama hayo ambayo wewe with less football knowledge unaona ya ki comedy.

Anyways kwakua hakuwafunga ndio maana
 
Naona kama wameridhika lakini niwakumbushe tu kunamarusiano. Huwezi kwenda na goli moja moroko ukabaki na matumaini
 
Back
Top Bottom