Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa ameshasahau tayari kama wameshinda.Kwani si yenu mmeshinda au yenu ilikuwa mfungwe ?
Ni kama hajiamini ivi anatema sana mipira mipira haikai mkononi yaaniwhy not
Yeah, tunajua kwamba nyinyi Yanga tayari mmeshasonga mbele.Imagine unaenda kwa Mwarabu, halafu anakuchezesha saa nne usiku! Na lile libaridi la usiku! Ukijumlisha na rekodi mbovu mnapocheza mechi za ugenini!
Dah! Uwezekano wa kusonga mbele, utategemea tu majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Hii ndio Wydad nnayo ijuaUsibadili maneno baadaye
Nimefurahia ndio maana nikaanza na kwa mkapa hatoki mtu✅Mpira una maajabu yake ,furahia ushindi leo .
Mimi naliogopa Vibe la mashabiki wa kule mechi hizi wanashangilia kama wehu au vichaaa na wachezaji wanakuja na familia zao uwanjani kama wanapigana Jihad kutetea familia na nchi huwa hawana mzaha.
Robertino ni gud techcian...simba itawashangaza MoroccoSasa mjiandae kutoka maana I am sure Simba hatoweza kucheza mithili alivyocheza leo
Tusiwatimue tuzidi kuwapa nafasi. Kama Kibu tungemtimua tungekuwa wapi sasa hivi?Kwa Mkapa hatoki [emoji736]
Ila sasa kwa margin hii ya magoli, nisiwe mnafiki hata kama mpira unadunda, tumeaga mashindano, kule kwao hiyo Ijumaa watatupiga goli nyingi.
Tujilaumu wenyewe kwakushindwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani!!
Lakini pia tuna wachezaji wengi wa kigeni ambao wanakula hela ya bure tu. Sawadogo, Okrah, Ouatarra nk
Nashauri wote watimuliwe!!
Basi kama tatu zilikuwa ni nyingi, hata mbili tu zingetosha.Hii gemu ilibidi tushinde hata tatu sio kwa ushindi huu mwembamba!
Sawa sawa sheikh Yahaya...Sasa mjiandae kutoka maana I am sure Simba hatoweza kucheza mithili alivyocheza leo
Inatosha sn na ni heshima kumfunga bingwa mtetezi.Simba hongera sana nawapenda...
Lolote litakalotokea badae nipo na nyie bega bega..
Mmeupiga mwingiiii walisema hamtawafunga waidada ila mmewafunga...
Yani kikubwa mmewafunga hilo tuu baaaaasiiiiiiii....
Hongera Simba Sports Club , lakini ule uwanja karibu na mako makuu yenu ulikuwa was nani na sasa nani an milikiDk 90 + 4
Simba 1 - 0 Wydad
FT
Muhimu nimeilinda heshima ya Kwa Mkapa, ya huko uarabuni naona tuwaachie waarabu..Imagine unaenda kwa Mwarabu, halafu anakuchezesha saa nne usiku! Na lile libaridi la usiku! Ukijumlisha na rekodi mbovu mnapocheza mechi za ugenini!
Dah! Uwezekano wa kusonga mbele, utategemea tu majaliwa ya Mwenyezi Mungu.