ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Anatakiwa akacheze Kwa Nguvu hii hiiSasa mjiandae kutoka maana I am sure Simba hatoweza kucheza mithili alivyocheza leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatakiwa akacheze Kwa Nguvu hii hiiSasa mjiandae kutoka maana I am sure Simba hatoweza kucheza mithili alivyocheza leo
Wydad nilisha andika ugenini uwa anafungwa au kutoa sare ila ukilegea anakufunga, ameshafungwa na Horoya, Petro Atretico, Rivers n.k Shida Ipo unapokwenda kwake, ukiacha kua soka wanalijua ila fitina wanaziweza.Simba aliyemfunga wydad
Yanga akaleta dharau
Ila. Sisi Uto [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji24]
Wewe wewe weweeeeeh, umeanza?Imagine 'kamoja' na hii baridi..!![emoji23][emoji23]
Nyinyi ndio hamjitambui, kuna siku kocha alimtowa chama kipindi cha kwanza tu tena mechi ya ligi mlitokwa na povu balaa, sasa Chama wenu huyo anawaachia full time.Watu waliosababisha Simba ikose ushindi mkubwa ni kocha Kwa kuchelewa kumtoa Tibazonkiza na Chama ameharibu movie nyingi sana..
Hii Timu ilikuwa inapigwa 3=0
Mmebadili kauli? Mlisema twafa taifa sasa twafia uarabuni?Unadhani hawajui kinachoenda kuwakuta uarabuni?
Kifafa cha mimba hicho kwa chuki yako kwa Simba, na kesho mnapigwa katerero huko Port Harcourt dedeq zenuImagine unaenda kwa Mwarabu, halafu anakuchezesha saa nne usiku! Na lile libaridi la usiku! Ukijumlisha na rekodi mbovu mnapocheza mechi za ugenini!
Dah! Uwezekano wa kusonga mbele, utategemea tu majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Na tusingwakanda, WANGETUIMBIA MAPAMBIO.Hiyo shio shida yetu,cha muhimu TUMEWAKANDA
Mchezaji kama Saidoo, game imemkataa tangu kipindi cha kwanza ila kakomaa nae mpaka zinabaki dakika 10.Kocha mpuuzi,Sana anaona Chama game imemkataa anamlazimishia , upuuzi
Teh teh 😂 😂 mshabiki ni mshabiki tu..Our players let us down...potelea mbali bora sijafia nyumbani.
Fika robo na ww kama ni rahisi!!Kazi yetu ndiyo itakuwa hii tunashiriki tunachukua kombe letu la robo mchezo unaisha
Jiandae wewe kesho kwa bwanako rivers united simba tumemaliza kazi yetu kule kwao ni drooSasa mjiandae kutoka maana I am sure Simba hatoweza kucheza mithili alivyocheza leo
Kocha kapata matokeo. Aachwe. Hii ni Wydad sio Yanga.Kocha mpuuzi,Sana anaona Chama game imemkataa anamlazimishia , upuuzi
Heshima kubwaaaaaa itabaki kwny historia...Inatosha sn na ni heshima kumfunga bingwa mtetezi.
Kwa sababu kocha ameshaingia kwenye mfumo wa mashabiki.Kocha mpuuzi,Sana anaona Chama game imemkataa anamlazimishia , upuuzi
Yeeaah this is simbaHeshima kubwaaaaaa itabaki kwny historia...
Dah! Fikiria sasa kama ndiyo matokeo yangekuwa ni sare, au mkafungwa! Hizi hasira zingekuwaje!!Kocha mpuuzi,Sana anaona Chama game imemkataa anamlazimishia , upuuzi
Ssa 4 uku ni saa 7 usiku yani ni tunaamka mtu kasha kufa za kutoshaImagine unaenda kwa Mwarabu, halafu anakuchezesha saa nne usiku! Na lile libaridi la usiku! Ukijumlisha na rekodi mbovu mnapocheza mechi za ugenini!
Dah! Uwezekano wa kusonga mbele, utategemea tu majaliwa ya Mwenyezi Mungu.