FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Simba aliyemfunga wydad

Yanga akaleta dharau

Ila. Sisi Uto [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji24]
Wydad nilisha andika ugenini uwa anafungwa au kutoa sare ila ukilegea anakufunga, ameshafungwa na Horoya, Petro Atretico, Rivers n.k Shida Ipo unapokwenda kwake, ukiacha kua soka wanalijua ila fitina wanaziweza.
 
Watu waliosababisha Simba ikose ushindi mkubwa ni kocha Kwa kuchelewa kumtoa Tibazonkiza na Chama ameharibu movie nyingi sana..

Hii Timu ilikuwa inapigwa 3=0
Nyinyi ndio hamjitambui, kuna siku kocha alimtowa chama kipindi cha kwanza tu tena mechi ya ligi mlitokwa na povu balaa, sasa Chama wenu huyo anawaachia full time.
 
_80a82cb6-f1e7-4985-a861-e90835638eff.jpeg
 
Imagine unaenda kwa Mwarabu, halafu anakuchezesha saa nne usiku! Na lile libaridi la usiku! Ukijumlisha na rekodi mbovu mnapocheza mechi za ugenini!

Dah! Uwezekano wa kusonga mbele, utategemea tu majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Kifafa cha mimba hicho kwa chuki yako kwa Simba, na kesho mnapigwa katerero huko Port Harcourt dedeq zenu
 
Back
Top Bottom