FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Ndugu zangu hao wana mioyo midogo hawawezi misuko suko ngoja dada yao niwawakilishe πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Uwiii Yanga nawagawa bure kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mtu hapo juu, kasema dhambi za Nabi apewe Onyango na madunduka wote πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Tena ndio bao la siku maana aliangushwa ndani ya box refa akapeta akanyuka fasta akashindilia hapo hapo kitu ndani watu weweeeeeeeeee keleleeee banda umiza
Huyo jamaa ni oppotyunisti... yani ni fwala mmoja hivi anatumia njia za udanganyifu nyie mnazuba mnasubiri filimbi ya refa anatumia huo mwanya anawaliza...ndo maana wa sauzi hawamtakii..
 
Vimbenju hoiii presha juu sipati picha huko waliko. Kama wana namba ya Mgunda si ajabu sasa hivi wanaongea naye ili kutoa dukuduku walilonalo! 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…