FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Mimi ni simba ila nadhani yanga anachukua makombe si chini ya matatu msimu huu. Huu unaweza kiwa msimu bora kuliko miaka yote kwa yanga na kwa vilabu vyote tangu ligi kuu inanzishwe.
E6A4E61F-628E-4B50-96FE-6787ED041856.jpeg
 
Tena ndio bao la siku maana aliangushwa ndani ya box refa akapeta akanyuka fasta akashindilia hapo hapo kitu ndani watu weweeeeeeeeee keleleeee banda umiza
Huyo jamaa ni oppotyunisti... yani ni fwala mmoja hivi anatumia njia za udanganyifu nyie mnazuba mnasubiri filimbi ya refa anatumia huo mwanya anawaliza...ndo maana wa sauzi hawamtakii..
 
Back
Top Bottom