FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Aahaaaaa
 
Kwa hiyo tumejikatia tamaa kuhakikisha uwanja wa Mkapa una umeme wa uhakika maana hii mbungi ilitakiwa kupigwa saa 1 usiku.
Nchi masikini zenye viongozi weusi nuksi sana. Yani ikiwa mechi za Yanga au Taifa Stars TU basi lazima wajinga wakate umeme taa zizime!

Umeme upo full zikicheza Simba , Lipuli, Dodoma Jiji, Pan African, Abajalo, Faru Dume au Manzese Queens! My "Stupid" iwafikie for all wahusika wa uwanja, I admit that I hate them and may Almighty God punish them all.

Hivi Utopoloni tukishinda meneja wa uwanja na timu Yako Nini kinakuuma?
 
Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha kuwa muongo.
Kwanzia hatua ya makundi mechi zote Yanga kaenda mapumziko akiwa anaaongoza magoli katika uwanja wa Mkapa. Isipokuwa mechi dhidi ya Rivers united peke yake ndio Yanga kaenda mapumziko pasipo goli.
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Tunajua ni game ngumu sana ila tunaamini uwezo tunao na Kikosi bora pia tunacho katika kupata matokeo yaliyo mazuri kwenye hizi dakika 90 za kwanza.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Yanga anabeba kombe la losers kiulainiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…