Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mi kesho kazini siendi!Yaani leo full burudani utadhani ni weekend vileπππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi kesho kazini siendi!Yaani leo full burudani utadhani ni weekend vileπππππ
Swahiba fainali ileeee ππ,kama nawaona makolo wanavyoumia π€£π€£Swahiba Mgagaa na Upwa hii ndio Timu yetu ya Wananchi. π π
Msimu wenu huu...tambeni tuu...sisi hatuna uwezoOKW BOBAN SUNZU mwenye Avatar ya Mo umepotea bana...
Kambi ya Fisi Bill Mtoto halali na hela Scars Greatest Of All Time Kalpana Shunie Makiwendo Wana simba wooteee JF mje tushangilie ushindi wa Taifa π°π°π°π°πππππππππππππ
AahaaaaaYanga wamesababisha Mashabiki wa Simba kuwa ndiyo Mashabiki wanaoongoza kushabikia timu nyingi zaidi katika michuano ya CAF mwaka huu.
Kama hapa tayari wameshatangulia fainali kusubiri timu itakayovaana na Yanga ndiyo waishabikie.
Nina uhakika Yanga watakapochukua Kombe bado watasema hawatafika nalo nchiniπ.
Nchi masikini zenye viongozi weusi nuksi sana. Yani ikiwa mechi za Yanga au Taifa Stars TU basi lazima wajinga wakate umeme taa zizime!Kwa hiyo tumejikatia tamaa kuhakikisha uwanja wa Mkapa una umeme wa uhakika maana hii mbungi ilitakiwa kupigwa saa 1 usiku.
Acha kuwa muongo.Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Leo hii umehamia YangaSimba kuweni wazalendo, shabikieni Yanga. [emoji6]
Sijui unaugua ukiwa wapi muda huuKILA KHERI MARUMO GALLANTS.
MTAZAMO WANGU FT YANGA 0 VS 1 MARUMO.
Yanga anabeba kombe la losers kiulainiiiiKila la kheri Timu ya Wananchi.
Tunajua ni game ngumu sana ila tunaamini uwezo tunao na Kikosi bora pia tunacho katika kupata matokeo yaliyo mazuri kwenye hizi dakika 90 za kwanza.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Unateseka ukiwa wapi?Wezi FC wameshinda aisee.
HahaaaaOKW BOBAN SUNZU mwenye Avatar ya Mo umepotea bana...
Kambi ya Fisi Bill Mtoto halali na hela Scars Greatest Of All Time Kalpana Shunie Makiwendo Wana simba wooteee JF mje tushangilie ushindi wa Taifa π°π°π°π°πππππππππππππ
Hi ndio raha ya kushangilia timu la kibingwa manake unakua na watoto wazuri kama hivi mpaka pumzi unazovuta zinakua kama zimechujwa hivi.Yaani leo full burudani utadhani ni weekend vileπππππ
Sinaga wivu mie ila sishangilii leo bali nitashangilia baada ya matokeo ya mechi ya marudiano kujulikana πOKW BOBAN SUNZU mwenye Avatar ya Mo umepotea bana...
Kambi ya Fisi Bill Mtoto halali na hela Scars Greatest Of All Time Kalpana Shunie Makiwendo Wana simba wooteee JF mje tushangilie ushindi wa Taifa π°π°π°π°πππππππππππππ