FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

OKW BOBAN SUNZU mwenye Avatar ya Mo umepotea bana...
Kambi ya Fisi Bill Mtoto halali na hela Scars Greatest Of All Time Kalpana Shunie Makiwendo Wana simba wooteee JF mje tushangilie ushindi wa Taifa πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Msimu wenu huu...tambeni tuu...sisi hatuna uwezo
07A0ED57-36EB-4A11-A9F8-528861FFC5B6.jpeg
 
Yanga wamesababisha Mashabiki wa Simba kuwa ndiyo Mashabiki wanaoongoza kushabikia timu nyingi zaidi katika michuano ya CAF mwaka huu.
Kama hapa tayari wameshatangulia fainali kusubiri timu itakayovaana na Yanga ndiyo waishabikie.
Nina uhakika Yanga watakapochukua Kombe bado watasema hawatafika nalo nchiniπŸ˜„.
Aahaaaaa
 
Kwa hiyo tumejikatia tamaa kuhakikisha uwanja wa Mkapa una umeme wa uhakika maana hii mbungi ilitakiwa kupigwa saa 1 usiku.
Nchi masikini zenye viongozi weusi nuksi sana. Yani ikiwa mechi za Yanga au Taifa Stars TU basi lazima wajinga wakate umeme taa zizime!

Umeme upo full zikicheza Simba , Lipuli, Dodoma Jiji, Pan African, Abajalo, Faru Dume au Manzese Queens! My "Stupid" iwafikie for all wahusika wa uwanja, I admit that I hate them and may Almighty God punish them all.

Hivi Utopoloni tukishinda meneja wa uwanja na timu Yako Nini kinakuuma?
 
Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha kuwa muongo.
Kwanzia hatua ya makundi mechi zote Yanga kaenda mapumziko akiwa anaaongoza magoli katika uwanja wa Mkapa. Isipokuwa mechi dhidi ya Rivers united peke yake ndio Yanga kaenda mapumziko pasipo goli.
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Tunajua ni game ngumu sana ila tunaamini uwezo tunao na Kikosi bora pia tunacho katika kupata matokeo yaliyo mazuri kwenye hizi dakika 90 za kwanza.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Yanga anabeba kombe la losers kiulainiiii
 
Back
Top Bottom