FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Mpira Sayansi hatuhitaji kuoata moto katikati ya uwanja. Siku hizi sioni tofauti ya ugenini wala nyumbani ,kote tunaupiga mwingi.
Dhidi ya vibonde wenzenu kama Tp mazembe
 
Almanusura pale....... Metacha amefanya save Moja nzuri pale
 
TP Mazembe wanapelekewa moto ambao hawajawahi kuushuhudia kwenye uwanja wao.

Nawaza tu, hivi wale wenzangu wa tarehe 16 ya mwezi huu na kile kikosi chao cha wazee, watajificha wapi ili kuondokana na hii dhahama!
Weka akiba ya maneno yasikukute ya Horoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…