mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #241
91Dakika ya ngapi huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
91Dakika ya ngapi huko
Washinde 7 ili wapate point ngapi?Timu mbovu kama hii Bado Goli Lile Lile.?
Utopolo hapo ilikuwa mjibwede 7 - 0 mnatuangusha...
Dhidi ya vibonde wenzenu kama Tp mazembeMpira Sayansi hatuhitaji kuoata moto katikati ya uwanja. Siku hizi sioni tofauti ya ugenini wala nyumbani ,kote tunaupiga mwingi.
Kama unaona kibonde huyo anaonewa leta timu yako.Dhidi ya vibonde wenzenu kama Tp mazembe
Kwa lipi ?YANGA NA IHESHIMIWE...
Nitarudi... [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Kwenye Michuano Ya losers..!Mpira Sayansi hatuhitaji kuoata moto katikati ya uwanja. Siku hizi sioni tofauti ya ugenini wala nyumbani ,kote tunaupiga mwingi.
Weka akiba ya maneno yasikukute ya HoroyaTP Mazembe wanapelekewa moto ambao hawajawahi kuushuhudia kwenye uwanja wao.
Nawaza tu, hivi wale wenzangu wa tarehe 16 ya mwezi huu na kile kikosi chao cha wazee, watajificha wapi ili kuondokana na hii dhahama!
Simba haijawahi kushinda ugenini kwenye mashindano haya ya losersKwenye Michuano Ya losers..!
FT Tp Mazembe 0 Yanga 1💛💚💪Dakika ya ngapi huko
Siku hizi bahasha hakuna tena ,bali hoja imekuwa vibonde ?Yani mtu anajisifu kumfunga kibonde wa kundi timu ambayo ina point 1.
Kwenye michuano hiyo hiyo South mlienda na kuni,mkaota moto katikati ya uwanja, halafu sijui mzigo wa kuni aliueba nani.Kwenye Michuano Ya losers..!