FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023



HUENDA UKAWA HAUMFAHAMU BONDIA HUYU [emoji91] THE KILLING MACHINE

Ipo YOUTUBE tayari @manaraTv

Gusa Link [emoji3516]Usisahau ku subscribe,Like na ku Comments
Kwa mtindo huu wa kukera watu hutapata subscriber kwenye channel yako hata mmoja. Jifunze strategy za marketing na kuvamia watu tu ambapo mada wala haihusiani is non of them. You are doing more damage to your brand than you can imagine
 
Bora niangalie game ya westham tu ...hizi camera za caf zinaharibu tv
 
Game moja mbovu sana, bora niangalie singida bs na mbeya city
 
Hizi faulo za golini zitawaponza utopolo ukizingatia beki zao ni fupi
 
Tatizo lenu mmekalili,, inamaana watu wasijifukize hukumbuki ilikua kipindi cha covid
Mbona mlipigwa faini Kama kujifukiza uwanjani ili kuwa sawa? Acheni kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe .Makolo Hakuna kitu
 
Kwa mtindo huu wa kukera watu hutapata subscriber kwenye channel yako hata mmoja. Jifunze strategy za marketing na kuvamia watu tu ambapo mada wala haihusiani is non of them. You are doing more damage to your brand than you can imagine

Sasa kaka unafikiri anajua hata mambo ya brand?
 
Kila la heri kwenye harakati za kusukuma mlevi!!
 
Kumbe hawa wacongo wa Yanga wakicheza mbele ya wajomba na shangazi zao wanakuwa wabovu hivi
 
HT: Tp Mazembe 0-0 Yanga, tukutache kipindi cha pili
 
Na Kila mtu anajua kipindi cha pili huwa Wananchi wanafanya nini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ukibisha muulize kolo yoyote aliye jilani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…