XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Hiyo ilikua ni mazembe inayoeleweka sio hii iliyo jichokeaFamasiala nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2574128View attachment 2574129View attachment 2574130
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ilikua ni mazembe inayoeleweka sio hii iliyo jichokeaFamasiala nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2574128View attachment 2574129View attachment 2574130
Kwa mtindo huu wa kukera watu hutapata subscriber kwenye channel yako hata mmoja. Jifunze strategy za marketing na kuvamia watu tu ambapo mada wala haihusiani is non of them. You are doing more damage to your brand than you can imagine
HUENDA UKAWA HAUMFAHAMU BONDIA HUYU [emoji91] THE KILLING MACHINE
Ipo YOUTUBE tayari @manaraTv
Gusa Link [emoji3516]Usisahau ku subscribe,Like na ku Comments
Mkuu kila kilichokichafu kwako kwa mwenzio kisafi, unaposema cha nini mwenzio anasema atakipata link?Yani unataka kabisa kupoteza bando lako kuangalia uchafu huu?
Usijizime data mkuu. Sina maneno ya kutosha kuelezea huu uozo ninaoshuhudia hapa. Save bando lako kwa matumizi mengine.Mkuu kila kilichokichafu kwako kwa mwenzio kisafi, unaposema cha nini mwenzio anasema atakipata link?
Mbona mlipigwa faini Kama kujifukiza uwanjani ili kuwa sawa? Acheni kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe .Makolo Hakuna kituTatizo lenu mmekalili,, inamaana watu wasijifukize hukumbuki ilikua kipindi cha covid
Faini ilikua Kwaajili ya moto tu mkuu, acha imani za kishirikinaMbona mlipigwa faini Kama kujifukiza uwanjani ili kuwa sawa? Acheni kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe .Makolo Hakuna kitu
Kwa mtindo huu wa kukera watu hutapata subscriber kwenye channel yako hata mmoja. Jifunze strategy za marketing na kuvamia watu tu ambapo mada wala haihusiani is non of them. You are doing more damage to your brand than you can imagine
Kila la heri kwenye harakati za kusukuma mlevi!!Mabingwa wa kutandaza kandanda safi barani Afrika, kandanda lilioenda shule, kandanda lenye viwango vya UEFA hapa nawazungumzia Young Africans leo wanashuka dimbani huko Lubumbashi nchini Kongo kumenyana na Tp Mazembe katika mchezo wa mwisho wa kundi D kombe la shirikisho barani Afrika.
Ikumbukwe mechi ya kwanza iliyopigwa jijini Dar es Salaam Yanga ilishinda goli 3-1 hivyo Tp Mazembe wataingia wakiwa na kiu ya kulipa kisasi.
Yanga wanaongoza kundi D wakiwa na point 10 na tayari wametinga hatua ya robo fainali hivyo nao watataka washinde ili kujihakikishia uongozi wa kundi lao.
Mechi hii itapigwa katika uwanja wa Tp Mazembe na itaanza mida ya saa 10:00 jioni na itarushwa Azam Sports kupitia channel yake ya ZBC2
Tuwe wote Kwa dakika 90 za mchezo huu..........
Kikosi cha YANGA kinachoanza
[emoji1241] Metacha
[emoji1241] Job
[emoji1078] Lomalisa
[emoji1241] Bacca
[emoji1241] Mwamnyeto
[emoji1078] Bangala
[emoji1241] Mudathir
[emoji1241] SureBoy
[emoji1078] Moloko
[emoji1268] Musonda
[emoji1078] Mayele
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Stay tunedView attachment 2573714
Hakuna mkuuHivi Kuna timu yoyote hapa Afrika inayotuliza boli chini kama Young Africans??
Angalia DStvAnhaaa, ndo mana aisee daaah.
Vibonde Wa Vipers wanapumzika bila bila.HT: Tp Mazembe 0-0 Yanga, tukutache kipindi cha pili