FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Vilaza wa Vipers wanapumzika bila bila.

1. Raja
2. Simba
3. Horoya
4. Vipers
 
Eti Hii ndiyo mechi ya kusafirisha mashabiki na kuwapitisha misituni kwenda kuishangilia
Wanaenda kushangilia Vibonde Wa Vipers, waliopumzika bila bila.

1. Raja
2. Simba
3. Horoya
4. Vipers
 
Loosers na Vibonde Wa Vipers wanapumzika bila bila.

1. Raja
2. Simba
3. Horoya
4. Vipers
 
Daa Africa ni Africa tu ,sijui wanatumia camera za Tecno ....

Mbona epl mpira unaonekana vzuri na Waafrica wetu huwa wanaonekana vzuri ? Pitch inaonekana vzuri ....

Huku sasa utafikili ni mashujaa fc ya kigoma inacheza huko kibondo ,hakuna quality kabisa [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Kila mtu anajua kipindi cha pili huwa Wananchi wanafanya nini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ukibisha muulize kolo yoyote aliye jilani yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa utopolooo mna jipya lipi na kombe LA losers, al hilal aliwafurushaaaa.
Lol
 
Kuweka kumbukumbu sawa, Simba ndio kibonde wa muda wote wa Yanga
Kwakuwa mechi zinachezwa na akina mzee mpili,, ila kuweka kumbukumbu sawa, Yanga ndo timu inayo ongoza kupigwa nyingi na mnyama Simba
 
Back
Top Bottom