Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamjui mpira mnachojua ni mahaba ya timu pekee. Kisa kafungwa na Yanga basi ni kibonde na kwavile kamfunga Al Ahly basi ndio mnaona kawa bora. Mnaongea kama vile nyie ndio makocha na wachezaji wa Al Ahly, umetumia nini kujua kama Al Ahly hawakuichukulia serious mechi?USMA ya msimu uliopita ni tofauti kabisa na USMA ya msimu huu!! USMA ya msimu uliopita ni vibonde wa kutupwa!! Lakini pia AL Ahly hawakuichukulia serious mechi hii, wametunza nguvu kukutana na "unyama mwingi"
Jina la timu halihusiani na ubora wa msimu uliopita na msimu wa sasa hivi.
Hapa nazungumzia ubora zizingumzii jina
Watu hatujaji ubora kwa kuangalia tu idadi ya wachezaji wapya waliocheza.
Tunasema ni bora kwa kuangalia performance tena dhidi ya timu bora.
Huo ndio ukweli Kwa timu kubwa ni mashindano ya walioshindwa . Ukiona akina Mamelod, Al ahly , wydad, Esperance, Tp Mazembe wakishiriki hayo mashindano ujue wameshuka viwango. Ni mashindano ya timu za daraja la kati.Ni kama kule ulaya Liverpool , Man u , juventus, Arsenal kushiriki Europa ni kufeli. Hakuna timu ya maana inayotamani kushiriki CAF shirikisho au kule ulaya kushiriki Europa.Wabongo watapunguza shombo ati CAF CC ni mshindano ya washindwa. Hongereni USM Algers
😂😂😂Naomba radhi kama nliwahi kusema Confederation ni timu dhaifu
Hivi kuipa sifa Al Ahly anayo stahili ni kumkuza?Tatizo kipimo chako cha ubora kimetokana na kuidharau Yanga na kuikuza Al Ahly. Bado ushabiki unaokusumbua
Kama anasifa anazostahili asingefungwa na bingwa wa vibondeHivi kuipa sifa Al Ahly anayo stahili ni kumkuza?
Nani ambaye anaweza kubeza ubora wa Al Ahly na kusema sifa alizopewa ni overrated?
kuwa na akili basi, hakuna team duniani inayo sajili wachezaji wabovu. kufungwa ni kufungwa tu haijalishi unatunza nguvu au la!, kwani USM hatunzi nguvu?USMA ya msimu uliopita ni tofauti kabisa na USMA ya msimu huu!! USMA ya msimu uliopita ni vibonde wa kutupwa!! Lakini pia AL Ahly hawakuichukulia serious mechi hii, wametunza nguvu kukutana na "unyama mwingi"
Hayo utasema wewe, ila tunachojua CAFCC imetoa bingwa wa CAF super cup kwa misimu miwili mfululizoBingwa wa vibonde amekuwa advanced.
Hajamfunga Al Ahly akiwa na kikosi kile kile alichowafunga vibonde
Mimi nikajua Ahly wagumu kumbe wanafungika.walete kwa Mkapa tuwapasue 3.
😁😁😁😂😂😅😅Wale wabovu tu mshindwe nyieMimi nikajua Ahly wagumu kumbe wanafungika.walete kwa Mkapa tuwapasue 3.
Wangefungwa pia Mashabiki uchwara wa USM ALGER wasingekosa sababu kujitetea kuwa bado Wachezaji wapya hawajawa na football consistency (Chemistry) nzuri.USM Algier waliocheza na Yanga sio hawa waliocheza na Al Ahly
Kuna mabadiliko ya wachezaji wa tano kwenye kikosi
Hayo mabadiliko sio madogo
Na hayo mabadiliko yamechukua nafasi kubwa kwenye forward line maana yake hilo ndio eneo lililokuwa na udhaifu kwa msimu uliopita.
Nimeipiga lamination kabisa hii SMS na kuifungia kwenye sefu kwa kumbukumbu za wakati ujao dhidi ya Makolokolo FC fans.Unahangaika sana na hii ndio shida ya Wanafiki. Haya tunasubiri mtakavyomfunga Aly Ahly na kumtoa maana hata nyie mmefanya mabadiliko ya wachezaji wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app