FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

USMA ya msimu uliopita ni tofauti kabisa na USMA ya msimu huu!! USMA ya msimu uliopita ni vibonde wa kutupwa!! Lakini pia AL Ahly hawakuichukulia serious mechi hii, wametunza nguvu kukutana na "unyama mwingi"
Hamjui mpira mnachojua ni mahaba ya timu pekee. Kisa kafungwa na Yanga basi ni kibonde na kwavile kamfunga Al Ahly basi ndio mnaona kawa bora. Mnaongea kama vile nyie ndio makocha na wachezaji wa Al Ahly, umetumia nini kujua kama Al Ahly hawakuichukulia serious mechi?
 
Jina la timu halihusiani na ubora wa msimu uliopita na msimu wa sasa hivi.

Hapa nazungumzia ubora zizingumzii jina

Watu hatujaji ubora kwa kuangalia tu idadi ya wachezaji wapya waliocheza.

Tunasema ni bora kwa kuangalia performance tena dhidi ya timu bora.

Tatizo kipimo chako cha ubora kimetokana na kuidharau Yanga na kuikuza Al Ahly. Bado ushabiki unaokusumbua
 
Wabongo watapunguza shombo ati CAF CC ni mshindano ya washindwa. Hongereni USM Algers
Huo ndio ukweli Kwa timu kubwa ni mashindano ya walioshindwa . Ukiona akina Mamelod, Al ahly , wydad, Esperance, Tp Mazembe wakishiriki hayo mashindano ujue wameshuka viwango. Ni mashindano ya timu za daraja la kati.Ni kama kule ulaya Liverpool , Man u , juventus, Arsenal kushiriki Europa ni kufeli. Hakuna timu ya maana inayotamani kushiriki CAF shirikisho au kule ulaya kushiriki Europa.
 
Matahira Kama ya Simba hapa utasikia Usm Algers amebadilisha kikosi sio Cha msimu ukiopita😅, haya kabadili kikosi kwahiyo USM Algers sio bingwa wa kombe la looser?.

Utahira wa mashabiki wa Simba ni wao kujiona Bora ati kisa walitolewa na Whydad ambayo imecheza fainal ya CAF huku wakiizodoa yanga kucheza fainali na USM Algers ambaye ni bingwa wa CAF super cup!. Ukiwaambia ni mazuzu hawaelewi... GENTAMYCINE kiongozi wao 😅
 
Hawa Al Ahly wameonekana vibonde kwa USMA ngoja waje huku tuone ni vibonde kweli au wamekutana na mziki
 
Tatizo kipimo chako cha ubora kimetokana na kuidharau Yanga na kuikuza Al Ahly. Bado ushabiki unaokusumbua
Hivi kuipa sifa Al Ahly anayo stahili ni kumkuza?

Nani ambaye anaweza kubeza ubora wa Al Ahly na kusema sifa alizopewa ni overrated?
 
kipa wa usm algiers yupo vizuri , nikikumbuka jinsi alivyoficha mipira siku ya fainali cafcc huko kwao Algiers angepigwa Hata 3 !
 
Ndo mlikua mnajilinganishs na USM...? Kwamba mlifanyiwa figisu..nyie ni wadogo mnooo utopolo...hao USM alger bahati mbaya tuu walidondokea shirikisho...
Alhly tunamkanda vilevile
 
USMA ya msimu uliopita ni tofauti kabisa na USMA ya msimu huu!! USMA ya msimu uliopita ni vibonde wa kutupwa!! Lakini pia AL Ahly hawakuichukulia serious mechi hii, wametunza nguvu kukutana na "unyama mwingi"
kuwa na akili basi, hakuna team duniani inayo sajili wachezaji wabovu. kufungwa ni kufungwa tu haijalishi unatunza nguvu au la!, kwani USM hatunzi nguvu?

nimegundua mashabiki maandazi hasa wa simba huwa wanatakaga chama acheze tuuu hadi afie uwanjani hawajui kuwa ile ni team hakuna mchezaji anasajiliwa akae benchi

team bora ni team yenye kikosi kipana na bora ambayo wanapata matokeo muda wowote kwa kikosi chochote

hao walio kaa bench Al ahly sio wachezaji wa Al ahly??
 
USM Algier waliocheza na Yanga sio hawa waliocheza na Al Ahly

Kuna mabadiliko ya wachezaji wa tano kwenye kikosi

Hayo mabadiliko sio madogo

Na hayo mabadiliko yamechukua nafasi kubwa kwenye forward line maana yake hilo ndio eneo lililokuwa na udhaifu kwa msimu uliopita.
Wangefungwa pia Mashabiki uchwara wa USM ALGER wasingekosa sababu kujitetea kuwa bado Wachezaji wapya hawajawa na football consistency (Chemistry) nzuri.

Lini utakuwa mwanamichezo badala ya kuwa Shabiki liandamizi la Makolokolo FC tokana na chuki, uzandiki, unafki na roho mbaya ili uwe neutral kiakili (flexible) kukubali ukweli?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom