FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Tunashinda 3 inshallah ๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Hahaha vyovyote itakavyokuwa najivunia kuwa sehem ya kizazi kilichoona moja ya timu ya Tanzania ikicheza final. Yawezekana tusione timu nyingine mpaka baada ya miaka 10 tena mkuu
Kwanini? Ligi ya Tanzania inaendelea kukua.
 
Hizi mechi za fainali mzike tofauti zenu club ifanikiwe zaidi, wewe ni kama Mzazi, tunajua jamaa ana ukaidi ila japo hata dakika 25 mpe acheze hata fainali ijayo, ila mkiendekeza ugomvi timu inapwaya na leo ikizingatiwa kuwa Khalid Aucho hachezi mechi zote.
Daima Mbele.....
 
Naona kinyonge zaidi Mtani. ๐Ÿ˜…
Ngoja kwanza tutakamatana baada ya dakika 15 za mwanzo tuone dua ya nani imepokelewa.

Dua ya jua kwa ajili ya kuwakomoa wenzenu hiyo tayari tushaona imekataliwa.

Imebaki dua moja tu mpaka sasa
 
Nasisitiza tena kama mnashinda shindeni na mtambe.

Ila endapo au basi
๐”๐ง๐š๐ญ๐ž๐ฌ๐ž๐ค๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ž๐š ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฌ๐ข๐ข๐ข๐ข๐ฆ๐›๐š๐š๐š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ