Mkifungwa huwa mnapotea najiuliza kwanini?
Wakipata usaidiz wa wale jamaa wanaopatikana kwa jina la Bonde linalokaliwa na vyura pale Jangwaniπ€£ππ€£USM ALGER nao hawajakaa kinyonge jukwaani
Ishafika kakaHiyo saa kumi mbona haifiki?
Hahahaaa. Ivo ivvo umeeleweka Mtani. π€£π€£Mimi ni mwananchi, mTanzania. Nawatakia Yanga ushindi kinyume chake. ππππ
Mtangazaji acha uongo hicho sip chumba cha VAR.
Hiyo ni control room ya CCTV afu camera za Sundar