FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Usijiaminishe chochote katika mpira mpaka mechi iieshe dk 2 zinaweza kuzaa goli 3.
 
Tandika Washeri zao hao utoo.
 
Hii ndio timu nzuri ya kwanza utopolo wamekutana nayo kwenye haya mashindano angalia wanavyotaabika

Uto bado hana uwezo wa kupambana na magiant kama Ahly na Wydad, ataenda tu kuaibishwa huko, hii shirikisho kwa sasa ndio level yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…