FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Kisinda anazulula maoni bola aingie Jesus na mzize
 
Mudathiri anakosa bao hapa

Kona kwa Yanga
 
Mayeleeeeeeeeeeee

Kapaishaaaaaaaaaaaaaaa

Na offside juuuuuuuuuu
 
Hapa kuna mshambuliaji hatari wa USM ALGER hajacheza kule Algeria atakuwepo
Kazi ipo
HABIB نيتينيمينينيميمبمطمذنذمذمذنننذنذنبنبنبنىوننطنينينينبنبنبنبنببنننبنببنبنننقنبننينقنبنينينيUTO MOCHWARI
 
Wananchi wameishiwa mbinu za kufunga..

Cha kuwasaidia waache mipira ya Juu,wacheze pasi fupi fupi vinginevyo sioni goli hapa maana Jamaa wanapiga kaunta na wamejaza watu nyuma
 
Wakati Yanga wanafanya sub kumtoa namba 10, USM ALGER anaingia namba 10 sasa
 
ulipotelea wapi ndg
 
Wachezaji wa Yanga bhana! Mnapata kona nyingi, halafu upigaji ni ule ule. Mara zote wenzenu ndiyo wanao zicheza. Kwa nini msipige kona fupi!!!!
 
70' 𝐒𝐮𝐛 𝐤𝐰𝐚 𝐔𝐒𝐌𝐀

𝐌𝐞𝐳𝐢𝐚𝐧𝐞 𝐈𝐧
𝐦𝐚𝐡𝐢𝐨𝐮𝐬 𝐎𝐮𝐭
 
WAZALENDO FC zidisheni Dua hawa Wananchi FC aka Utopolo wapigwe cha pili midomo ikae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…