FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

65' ๐’๐ฎ๐› ๐ค๐ฐ๐š ๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐€๐ณ๐ข๐ณ ๐Š๐ข ๐ง๐ฃ๐ž, ๐’๐ฎ๐ซ๐ž ๐›๐จ๐ฒ ๐ง๐๐š๐ง๐ข
 
Utopolo ana rekodi nzuri ya kushinda ugenini....

hata huko Uarabuni ushindi kwa Uto...unaweza kuwepo (rejea kule Tunisia,Drc, Nigeria na kwa Madiba)
Angalia quality ya hawa jamaa, huwezi linganisha na hizo timu.

Uto angekuwa tayari 3-0 nyuma kama hawa wangekuwa makini
 
๐–๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ก๐ฎ๐จ ๐ฆ๐ฉ๐ข๐ซ๐š ๐ฎ๐ฆ๐ž๐ฌ๐ข๐ฆ๐š๐ฆ๐š ๐‚๐ก๐ข๐ญ๐š ๐ง๐š ๐๐ž๐ง๐๐จ๐ญ ๐ฐ๐š ๐”๐’๐Œ๐€ ๐ฐ๐š๐ฉ๐จ ๐œ๐ก๐ข๐ง๐ข
 
Mwenye ako na link ya kustream online tafasali
Kuna mtu aliweka hii link

 
NB:uwanja wa USM ALGER UPO BAHARINI UKO ALGER
KAZI IPO ู†ุณุชูŠู†ูŠุจู†ุจุชุจุชุจู†ุจุชุจู†ุจูˆุฐูˆูŠู†ูŠูŠู†ุจู…ุฐูˆูˆุฐูˆูˆุฐุฐู†ู† HABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI
 
Tuliwaonya msiingize siasa kwenye hii mechi mkashupaza shingo. Ile picha mliyoweka kwenye T shirt zenu imewaponza
 
Ripota hana nguvu tena za kuripoti, anatupa dakika tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha.......saivi wanajifariji eti watapindua matokeo Uarabuni, najiuliza Wanamjua Muarabu linapofika suala la Fainali hawa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wananikumbusho ya Mzee Kipukuso na wenzake Bamchawi Novemba 1993
 
Back
Top Bottom