FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Nimekuja kutafuta hili jamaa najua lina furaha sana muda huu [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI
 
Mpaka sasa Nabby hajafanya mabafiliko.

Ni 61'
Uto 0-1 USM

Kona kwa Uto
 
Kusema kweli sijapenda kabisa, yaani ripota wetu moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa Mheshimiwa sana Joseverest ameamua kuzima maiki na Computer kupisha baridi la bao 1 walilotangulizwa jamani 😅😅😅

Msijali Wananchi, hii mechi mtashinda na Ubingwa mtachukua 🤪🏃🏃
 
Kwa kinachoendelea sitoshangaa wanawake kutupa jezi zao na kutembea vifua wazi kama wehu.
 
Kusema kweli sijapenda kabisa, yaani ripota wetu moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa Mheshimiwa sana Joseverest ameamua kuzima maiki na Computer kupisha baridi la bao 1 walilotangulizwa jamani [emoji28][emoji28][emoji28]

Msijali Wananchi, hii mechi mtashinda na Ubingwa mtachukua [emoji2957][emoji125][emoji125]
Ripota hana nguvu tena za kuripoti, anatupa dakika tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uto,

Kama hapa nyumbani ndio mnashambuliwa hivi sasa huko Algeria mtaenda kufanya nini?

Mi naona bora mkubali fainali iishie hapa hapa waarabu wapewe kombe lao leo.
Utopolo ana rekodi nzuri ya kushinda ugenini....

hata huko Uarabuni ushindi kwa Uto...unaweza kuwepo (rejea kule Tunisia,Drc, Nigeria na kwa Madiba)
 
Kama kawaida ya waarabu washaanza kumuhadaa mwamuzi
 
Back
Top Bottom